Thursday, October 19, 2017

JINSI YA KUTOA FRP LOCK AU GOOGLE ACCOUNT KWENYE TECNO PHANTOM

Leo tutajifunza jinsi ya kutoa frp lock au google account lock kwenye simu ya Tecno Phantom au simu aina ya Tecno.

Friday, October 13, 2017

JINSI YA KUANDIKA MANENO YENYE BOLD AU ITALIC KWENYE WHATSAPP

Wale wapenzi wa kuchat kwenye Whatsapp tayari washakutana na message ambazo zina maneno ya bold, italic,monospace na Strikethrough. Kwenye picha juu kuna baazi ya maneno yanaonekana yana bold

Tuesday, October 10, 2017

VERIFY YOUR ACCOUNT. THIS DEVICE WAS RESET. FRP LOCK, KIPI UNACHOTAKIWA KUJUA?

Kwa wale wanaotumia simu za Android wengi wetu tayari tumekutana na maneno yafuatayo
This device was reset. To continue sign in with Google account that was previously synced on this device

Saturday, May 20, 2017

JINSI YA KUTENGENEZA APP KAMA YA MILLARDAYO (PART 4)

Kutokana na maombi mengi ya wasomaji wangu nimeona ni vyema nikaendeleza somo la kutengeneza app kama ya millardayo. Endapo utasoma hii somo na kulielewa basi utaweza kutengeneza app kama ya millardayo.

Thursday, May 4, 2017

JINSI YA KUWEKA CUSTOM RECOVERY KWENYE SAMSUNG GALAXY J7

Samsung Galaxy J7 (SM-J700F) ni moja ya simu zenye uwezo mkubwa licha ya kuwa bei nafuu. Kitu kingine kizuri kuhusu hii simu ni kwamba ina kuja na android 6 (marshmallow) na pia unaweza kutumia SIM card mbili kwa wakati mmoja. Leo tutaona jinsi ya kuweka custom recovery kwenye Samsung Galaxy J7 (SM-J700F)

Friday, March 31, 2017

KIPI UNACHOTAKIWA KUJUA KUHUSU SAMSUNG DEX

Samsung Dex ni kifaa ambacho kimezinduliwa na samsung siku chache zilizopita wakati Samsung Galaxy S8 na S8+ zikiwa zinazinduliwa.

Saturday, March 4, 2017

MAUJANJA KWENYE SIMU ZA ANDROID PART 3

Kiukweli simu za android zina mambo mengi sana na kama wewe ni mtumiaji wa simu za android yapo baadhi ya mambo ambayo unapaswa kujua kuhusu simu yako. Leo tutaongelea kuhusu screen density. Tutajifunza jinsi ya kuongeza au kupunguza screen density (dpi) kwenye simu yako android.