Sunday, August 2, 2015

JINSI YA KUWEKA HTC M9 BROWSER KWENYE SIMU ZA ANDROID


HTC M9 ni moja smartphone ambayo ilizinduliwa rasmi mwaka 2015. Ndani ya HTC M9 zipo apps kibao na moja kati hizo apps ni HTC M9 BROWSER. Moja ya sifa ya htc m9 browser ni speed iliyonayo kwenye fungua pages, kutazama video na kuzunguka kwenye page mbalimbali kwa haraha zaidi.



JINSI YA KUWEKA HTC M9 BROWSER KWENYE SIMU ZA ANDROID

STEP 1

Download HTC M9 BROWSER kwa kutumia link chini
https://www.dropbox.com/s/vm2q9lg4gz8qr23/Htc%20One%20M9%20Browser.apk?dl=0

STEP 2

Install Htc m9 browser kwenye simu yako

STEP 3

Enjoy HTC M9 BROWSER

Picha chini zinaonyesha muonekano wa HTC M9 BROWSER










Mpaka hapo tumefika mwisho wa malekezo ya kuchukua picha kutoka kwenye instagram. Kama umependa kazi yetu unaweza ukatufwata kwenye intagram kwa kutumia phonetricktz

No comments:

Post a Comment