Thursday, August 6, 2015

JINSI YA KUWEKA HTC M9 CAMERA KWENYE SIMU ZA ANDROID


Siku chache zilizopita tuliona jinsi ya kuweka HTC M9 browser kwenye simu za android. Leo tutaendelea mbele zaidi na kujifunza jinsi ya kuweka HTC M9 Camera kwenye simu zinazotumia android 4.4 na kuendelea.



Kuweka camera ya htc m9 kwenye simu za android ni rahisi kama ilivyo kuweka app kutuko kwenye playstore. Kuna baadhi ya vipengele ambavyo havifanyi kazi kwa sasa kama HDR, Slow motion.

Vitu vingine kama panaroma, selfie, camera slipt na camera yenyewe vinapiga kazi.

JINSI YA KUWEKA HTC M9 CAMERA KWENYE SIMU ZA ANDROID

STEP 1

Download HTC M9 Camera kwa kutumia link chini
http://www.apkmirror.com/wp-content/themes/APKMirror/download.php?id=18737

STEP 2

Install Htc m9 camera kwenye simu yako

STEP 3

Enjoy HTC M9 Camera
Picha chini zinaonyesha muonekano wa HTC M9 Camera kwenye simu ya android







Mpaka hapo tumefika mwisho wa malekezo ya kuweka HTC M9 Camera kwenye simu za android. Kama umependa kazi yetu unaweza ukatufwata kwenye intagram kwa kutumia phonetricktz

Kwa wale wanaotaka kuwasiliana na sisi kuhusina na tatizo lolote kwenye simu za android unaweza kutupata kupitia namba +255765659669. Endapo tatizo lako lilitatuliwa utatakiwa kulipa Tsh 25000.

No comments:

Post a Comment