Friday, January 9, 2015

JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YA SAMSUNG NI ORGINAL AU FAKE



Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kutofautisha kati ya orginal na fake samsung mobile device.

Wengi wamekuwa wakijikuta wananunua simu fake tena kwa gharama kubwa. Hizi ni baadhi ya njia ambazo zitakuwezesha kuitambua simu orginal ya samsung



*#06#
Shows IMEI (International Mobile Equipment Identity) number

*#7353#
Quick Test Menu



*#0*#
LCD Test Menu

Dial the secret code *#0*#. Now you get a screen with title LCD TEST as shown in image and below that you have lots of option to test various hardware parts of your phone such as speaker, sensor, lcd, etc


*#1234#
To check Software and Hardware information, PDA, CSC, MODEM (Firmware Version)

*#2222#
H/W Version

*#0011#
Displays status information for the GSM



*#0228#
Battery status (ADC, RSSI reading)


*#9900#
Takes you to System Dump, where Disabling Fast Dormancy gives a boost to your network speed on some networks (both wifi and Gprs), same code to re-enable it


Hizo ni baadhi ya code ambazo unaweza ukatumia ukiwa unataka kuhakikisha kama simu ya samsung ni orginal au sio.

No comments:

Post a Comment