Tuesday, September 20, 2016

DOWNLOAD WALLPAPER ZILIZOPO KWENYE LG V20

LG V20 ni toleo jipya kabisa kutoka kwenye kampuni ya LG. Kama ilivyo kawaida yetu huwa tunaweka zile wallpaper ambazo zinakuwepo kwenye zile simu mpya ambazo zimeingia sokoni.

Leo tutapakua zile wallpaper ambazo zipo kwenye simu mpya kutoka LG ambayo inaitwa LG V20. Hii simu ina picha nzuri sana ambazo zinavutia endapo ukiziweka kama screensaver au home screen picture.

Unaweza ku-download LG V20 Wallpaper kwa kutumia link chini kisha ziweke kwenye simu yako.
http://downloadmirror.co/Ulw/v20-wallpapers.zip

No comments:

Post a Comment