Friday, May 22, 2015

JINSI YA KUPAKUA(DOWNLOAD) VIDEO KUTOKA KWENYE YOUTUBE KWA KUTUMIA SIMU ZA ANDROID


Wengi hutamani sana kupakua au ku download video kutoka kwenye youtube lakini wengi wetu wanashindwa kutokana na njia mbovu wanazotumia.

Zipo njia nyingi sana za ku-download video au audio kutoka kwenye youtube. Njia hizi nyingi huwa hazileti matokeo mazuri. Leo nitatoa maelekezo njia nzuri yenye mafanikio kwa asilimia 99.9. Kitu cha kwanza unachotakiwa kuzingatia ni simu yako unayotumia iwe rooted. Kama simu yako haijawa rooted unaweza usipate matokeo mazuri.



STEP 1
Download OGyoutube application kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako

STEP 2
Fungua   OGyoutube app kisha nenda kwenye video unayotaka ku-download.


STEP 3
Bonyeza sehemu iliyoandikwa download kwa rangi nyekundu kisha utaona muonekano kama picha chini



STEP 4
Bonyeza kwenye kipengele cha video quality kuchagua  quality unayoita

Note
1080p ndio quality nzuri kwa maana hiyo ni full HD (High definition) ikimanisha kwamba unaweza kupata ubora wa picha nzuri hata utakapoitazama hiyo video kwenye smart Tv ambazo ni Full HD

STEP 5
Chagua audio quality unayoitaka. Mimi binafsi napenda high quality



STEP 6
Bonyeza Download.

DONE..........
Kwa wale wanaotaka msaada wa ku-root simu zao unaweza wasiliana nasi kupitia namba +255716203029 na utalipia kiasi cha Tsh 25000 tu.

Kwa wale wanaopenda blog yetu na wanataka tuendele zaidi basi usiache kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz

1 comment: