Sunday, May 24, 2015

JINSI YA KUWEKA WEATHER WIDGET YA SAMSUNG GALAXY S6 KWENYE SIMU ZA ANDROID


Samsung Galaxy S6 maarufu kama THE NEXT GALAXY imejizolea umaarufu mkubwa kwenye soko la smartphone na kujikuta ikuuzwa zaidi ya iphone 6. Samsung Galaxy S6 imekuja na vitu vingi kwanzia kwenye software mpaka kwenye hardware.

Moja ya kitu kizuru kwenye samsung galaxy s6 ni display. Display ya samsung galaxy s6 ni moja ya display nzuri kwenye soko la smartphone kwa sasa.



Leo tutaongela weather widget ambayo ipo kwenye display ya s6 na kuweza kuiweka kwenye simu za android. Soma maelekezo chini kujua jinsi ya kuweka weather widget ya samsung galaxy kwenye simu zinatumia android.



Hakikisha kwenye simu yako una file manager kama es explorer au root explorer. Unaweza download ex explorer kwa kutumia link chini kama bado ujaiweka kwenye simu yako
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.estrongs.android.pop&hl=en

JINSI YA KUWEKA WEATHER WIDGET YA SAMSUNG GALAXY S6  KWENYE SIMU ZA ANDROID

STEP 0
Download xwidget app kutoka kwenye playstore kisha install kwenye simu yako kisha ifungue xwidget app. Tumia link chini kudownload xwidget app.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.xwidgetsoft.xwidget&hl=en



STEP 1
Download Samsung Galaxy S6 weather widget kwa kutumia link chini kisha extract hilo file na utapata folder linaloitwa widget. Ndani ya folder la widget utapa mafile matatu kama picha inavyo onyesha chini
https://www.mediafire.com/?ecke5582exe628a



STEP 2
Copy au move folder zote tatu  ulizozipata kwenye step 2 kisha yapeleke ndani ya folder la  widget amablo lipo ndani ya  xwidget folder kwenye memory card ya simu yako. Tazama picha chini kuelewa zaidi



STEP 3
Fungua xwidet app kisha nenda kwenye kipengele cha local na utapata muonekano kama picha chini.
Kama ujapata muonekano huo hapo chini rudia tena step 1 na step 2

STEP 4
Kila mtu ana njia tofauti ya kuweka widget kwenye home screen. Mimi binafsi huwa na bonyeza na kushikilia home screen mpaka nitakopata muonekano kama picha chini


STEP 5
Nenda kwenye kipengele cha widgets kisha tafuta xwidget kama picha inavyo onyesha chini


STEP 6
Bonyeza kipengele cha xwidget kisha chagua ukubwa wa widget unaotaka. Kwa mfano display ya simu yangu ina upana wa 720pixels na urefu wa 1280pixels kwa hiyo mimi nachagua frame ya xwidget 4 X 1 kama picha inavyo onekana chini


STEP 7
Kwenye window inayofwata bonyeza kipengele kinachosema create. Tazama picha chini


STEP 8
Automatically simu yako itakupeleka kwenye xwidget app. Hakikisha upo kwenye kipengele cha local kama picha inavyo onekana chini. Utaona widget tatu, chagua widget unayotaka. Mimi napendelea widget inayoitwa Galaxy S6 weather "Gold"

STEP 9
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka Samsung Galaxy S6 weather widget kwenye simu yako ya android. Utapata muonekano unaofanana na picha chini



Kwa wale wanaopenda blog yetu na wanataka tuendele zaidi basi usiache kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz

Kwa wale wanaotaka msaada wa ku-root simu zao, ku-flash, simu za android unaweza wasiliana nasi kupitia namba +255716203029 na utalipia kiasi cha Tsh 25000 tu.

No comments:

Post a Comment