Showing posts with label huawei. Show all posts
Showing posts with label huawei. Show all posts

Monday, April 20, 2015

JINSI YA KUTATUA TATIZO LA "YOUR BOOT/RECOVERY IMAGE MAY HAVE AN INCORRECT SIGNATURE." KWENYE HUAWEI Y300


Kwa wale wenye Huawei Y300 ambao wamekutana na haya maneno  "YOUR BOOT/RECOVERY IMAGE MAY HAVE AN INCORRECT SIGNATURE." pale wanapowasha simu sasa tatizo hilo linaweza kutatulika.

Kwanza nieleze sababu ambayo inaweza kupelekea mtu kukumbana na tatizo kama hilo. Sababu ya kwanza ni kujaribu kuweka custom recovery kabla huja unlock bootloader. Sababu nyingine ni kujaribu ku unlock simu za huawei ambazo zimekuwa locked to one network. Kufanya hivi inaweza ikasababisha simu yako ikafa moja kwa moja na usiweze kuitumia tena.

Wednesday, April 15, 2015

JINSI YA KUBADILISHA MUONEKANO WA HUAWEI Y300


Kama wewe ni mtumiaji wa Huawei Y300 leo utaweza kujua jinsi ya kubadili muonekano wa simu yako kwa kutumia themes.

Themes zimeanza kutumika kwa kasi kama njia ya kubadilisha muonekano wa simu yako. Kwa wale ambao wanatumia rom za cyanogenmod wao watakuwa wameshaanza kufaidika na themes.

Kwa sasa tayari tushatoa maelekezo jinsi ya kuweka cyanogenmod kwenye Huawei Y300 na kwenye Samsung Galaxy GTI9300.
Leo nitatoa maelekezo jinsi ya kubadili muonekano wa Huawei Y300 kwa kutumia themes.

Sunday, April 12, 2015

JINSI YA KUWEKA CYANOGENMOD KWENYE HUAWEI Y300


Cyanogenmod ni aina ya android ambayo inakuwezesha kubadili muonekano wa simu yako kwa kutumia themes. Cyanogenmod is a free, community built distribution of Android which greatly extends the capabilities of your device.

Leo nitatoa malekezo jinsi ya kuweka cyanogenmod kwenye Huawei Y300. Moja ya faida utakayopata baada ya kuweka cyanogenmod kwenye Huawei Y300 ni kubadili muonekano wa simu yako kwa kutumia themes na kuifanya simu yako kuwa na uwezo mkubwa

Sunday, February 15, 2015

SIMU INAUZWA, HUAWEI Y300 USED KWA KIASI CHA TSH 120,000


Huawei Y300 ambayo imetumika inauzwa kwa kiasi cha Tsh 120,000. Simu bado ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote. Kwa maelezo zaidi piga namba +255753618318. Malezo ya simu ni kama ifuatavyo

Phone -                           Huawei
Model -                           Y300
Android -                         4.4.4

Friday, February 6, 2015

JINSI YA KUBADILISHA BOOTANIMATION KWENYE HUAWEI Y300


Bootanimation ni ule muonekano ambao unaonekana pale unapowasha simu yako. Makampuni ya simu kama Samsung, HTC, Huawei, Sony hupendelea kuweka majina yao pale simu inapowaka.

Kama wewe unatumia Huawei Y300, leo ntakuonyesha jinsi ya kubadili bootanimation na kuweka muonekano mwingine pale simu yako inapowaka.

Wednesday, November 19, 2014

JINSI YA KUWEKA ANDROID 4.4.4 (KITKAT) KWENYE HUAWEI Y300


Watu wengi wanaotumia simu ya huawei Y300 wamekuwa wakitaka kutumia android 4.4.4 Kitkat kwenye simu zao lakini imekuwa ni ndoto kwao kwakua huawei haijatoa official update ya android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.

Kutoka na hilo basi leo nitatoa malekezo jinsi ya kuweka custom rom ambayo itakupa uwezo wa kutumia android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.

Monday, October 20, 2014

JINSI YA KU-ROOT HUAWEI Y300 NA UNLOCK BOOTLOADER


Huawei Y300 ni simu nzuri ambayo inaweza kufanya mambo mengi licha ya kuwa bei nafuu. Uzuri huo wa huawei y300 huongezeka pale utakapo root simu yako na ku-unlock bootloader.

Endapo utafanikiwa ku-unlock bootloader na ku-root huawei Y300 basi utaweza kufanya yafwatayo


  1. Kuweka custom rom mbali mbali kama slimkat inayo tumia android 4.4.4
  2. Utaweza kuweka Exposed framework ambayo itakusaidia kubadilisha muonekano wa simu yako
  3. Utaweza kuweka bootanimation tofauti 
Hizo ni baadhi ya faida ambazo utapa endapo uta root na ku unlock bootloader. Bila ya kuongea sana tuangalie jinsi gani utaweza ku-unlock bootloader na root huawei Y300