Thursday, August 28, 2014

JINSI YA KUWEKA TINTED STATUS BAR KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID



Status Bar ni ile sehemu ya juu kabisa kwenye screen yako. Vitu vinavyokuwepo kwenye Status bar  ni alama ya battery, network signal pamoja na notification kama za whatsapp, facebook, viber etc.

Tinted Status Bar ni app ambayo itaifanya status bar yako ibadilike rangi na kuchukua rangi ya app ambayo utakuwa unatumia.

Mfano tazama picha chini zikionyesha jinsi inavyokuwa kwa kila app ntakatotumia.



muonekano wa status bar nikiwa kwenye whatsapp

Muonekano wa status bar nikiwa kwenye google+

Muonekano wa status bar nikiwa kwenye play store

Muonekano wa status bar nikiwa kwenye viber

Kama umependa na Jinsi status bar inavyobadilika rangi kutokana na app ninayotumia basi soma maelekezo chini ili ufahamu jinsi ya kuweka kwenye simu yako


 JINSI YA KUWEKA TINTED STATUS BAR KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID

1) 
Simu yako inatikiwa iwe na exposed Framework. Kama huna exposed installer na ungependa kujua jinsi ya kuweka exposed framework kwenye simu yako tembelea HAPA 

Kama hujui exposed framework inaonekana vipi kwenye simu yako basi tazama picha chini


Note: simu lazima iwe rooted ili kuweza kuweka exposed framework kwenye simu yako. Kama hajui jinsi ya ku-root simu yako toa comment chini na utapewa maelekezo zaidi.

2) 
Hakikisha kwenye simu yako umekubali kipengele kinachosema "allow installation from unknown source". Kama bado ujafanya hivyo basi nenda kwenye settings halafu security kisha tick kibox kinachosema "allow installation from unknown source".





3)
Download TINTED STATUS BAR APP kisha install it kwenye simu yako.

4)
Kwenye simu yako nenda kwenye exposed framework  kisha nenda module Halafu activate Tinted Status Bar . Kisha restart simu yako. Hakikisha Tinted Status Bar umeipa superuser permission kwenye simu.



Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unaswali unaweza kutoa comment chini. Kama umependa kazi yetu usiache ku like our facebook.

Piga +255753618318 kama ungependa usaidiwe au simu yako inamatatizo. Gharama zitatozwa  (Tsh 25,000 tu.)

1 comment: