Moja ya faida kubwa ya kutumia simu zinazotumia android ni kuweza kubadili mfumo mzima wa simu yako na kukupa muonekano ambao wewe unaupenda.
Najua wengi wetu wanatumia mtandao wa whatsapp lakini wengi hawajajua kama unaweza kubadili muonekano mzima wa whatsapp na kuifanya iwe na mvuto mzuri.
Tazama picha chini zikionyesha jinsi whatsapp inavyoweza kubadilishwa na kupata muonekano mwingine ambao ni mzuri zaidi
JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA WHATSAPP
1)
Simu yako inatikiwa iwe na exposed Framework. Kama huna exposed installer na ungependa kujua jinsi ya kuweka exposed framework kwenye simu yako tembelea HAPA
Kama hujui exposed framework inaonekana vipi kwenye simu yako basi tazama picha chini
Note: simu lazima iwe rooted ili kuweza kuweka exposed framework kwenye simu yako. Kama hajui jinsi ya ku-root simu yako toa comment chini na utapewa maelekezo zaidi.
2)
Hakikisha kwenye simu yako umekubali kipengele kinachosema "allow installation from unknown source". Kama bado ujafanya hivyo basi nenda kwenye settings halafu security kisha tick kibox kinachosema "allow installation from unknown source".
3)
Download ANDROID APPS THEME ENGINE kisha install it kwenye simu yako.
4)
Kwenye simu yako nenda kwenye exposed framework kisha nenda module Halafu activate android app theme engine. Kisha restart simu yako. Baada ya simu yako kuwaka fungua android app theme engine kisha shuka chini Hadi kwenye kipengele cha whatsapp kisha ibadilishe utakavyo. Ukimaliza apply theme on the go.
Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unaswali unaweza kutoa comment chini. Kama umependa kazi yetu usiache ku like our facebook.
Piga +255753618318 kama ungependa usaidiwe au simu yako inamatatizo. Gharama zitatozwa (Tsh 25,000 tu.)
Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unaswali unaweza kutoa comment chini. Kama umependa kazi yetu usiache ku like our facebook.
Piga +255753618318 kama ungependa usaidiwe au simu yako inamatatizo. Gharama zitatozwa (Tsh 25,000 tu.)
No comments:
Post a Comment