Hii ni njia rahisi itakayo kuwezesha ku root simu aina ya Samsung Galaxy S Duos GT-S7562. Moja ya faida ya kuroot simu ni kuweza kubadili muonekano wa simu yako pia utaweza kuweka custom rom au kuweka exposed framework kwenye simu yako.
Leo nitatoa malekezo ambayo yatakusaidia endapo ungependa ku root Samsung Galaxy S Duos GT-S7562. Kabla sijatoa maelekezo ni vyema nikupe masharti ambayo unatakiwa kukubaliana nayo kabla uja root simu yako
(VIGEZO NA MASHARTI)
1: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako.
2: Hakikisha unauelewa kidogo wa computer
3: Maelekezo haya ni kwa watu wanaotumia SAMSUNG GALAXY S DUOS GT-S7562 .
4: You need common sense and brain.
5: Unatakiwa uwe na computer inayotumia window
6: Install Samsung kies kwenye compuer yako ili kupata drivers za samsung galaxy S Duos . Samsung Kies inapatikana HAPA. Hakikisha unadownload kies na sio kies3
7) utakuwa umepoteza warranty ya simu yako endapo uta root simu yako.
JINSI YA KU ROOT SAMSUNG GALAXY S DUOS GT-S7562
STEP 0
Hakikisha model ya simu yako ni GT-S7562. Kama ni tofauti basi usi root unaweza haribu simu yako.
STEP 1
Download ROOT_GT-S7562_2.zip (1.84 MB) kwenye computer yako
STEP 2
Extract ROOT_GT-S7562_2.zip kwenye computer yako na hakikisha unapata folder linaloitwa ROOT_GT-S7562 na ndani ya hilo folder kuna mafile haya
- tools (folder)
- adb.exe
- AdbWinApi.dll
- AdbWinUsbApi.dll
- root.cmd
- root.sh
Kwenye simu yako hakikisha una enable installation from Unknown sources.
kwenye simu yako nenda Settings » Security » halafu shuka chini na hakikisha una tick kibox kinachosema "Unknown Sources to allow installation of non-market apps".
STEP 4
Turn on USB Debugging on your Galaxy S Duos
- Enable developer options: Go to your device’ Settings » select About device » Scroll to the bottom and tap on “Build number” seven times to enable developer options.
- Enable USB Debugging: Open device’ Settings » select Developer options » Tick the “USB debugging” checkbox. (under Debugging section)
Chomeka simu yako kwenye computer kwa kutumis USB cable na utaona window ina pop-up kwenye screen ya simu yako. Kisha tick kibox kinachosema Always allow from this computer.
STEP 6
Nenda kwenye lile folder ambalo uli extract kwenye step 2 kisha double click file linaloitwa root.cmd ili kuanza ku-root simu yako.
STEP 7
Baada ya hapo simu yako itakuwa imefanikiwa kuwa rooted. Kama ujafanikiwa basi fwatilizia hizi steps chini ku troubleshoot
- Make sure you have installed driver for Galaxy S Duos as said above in ‘Before you begin..’ section.
- If you have already installed driver, then uninstall them and reinstall back.
- Connect using a different USB port on your PC.
- Try a different USB cable. The original cable that came with your phone should work best, if not, try any other cable that’s new and of good quality.
- Reboot your phone and PC and then try again
Endapo kama wewe ungependa usaidiwe basi wasiliana nasi kupitia namba +255753618318 au +255716203029 na ghara itakuwa ni Tsh 25,000.
Kama una swali toa maoni (comment) chini hapo na utajibiwa. Kama umependa kazi yetu usiache kutulike kwenye facebook yetu na follow us kwenye google+
No comments:
Post a Comment