Tuesday, May 19, 2015

JINSI YA KUWEKA KEYBOARD YA SONY XPERIA KWENYE SIMU ZA ANDROID


Wengi tunafahamu uzuri wa simu za sony xperia pale unapoongela smartphone.  Xperia keyboard ni keyboard ambayo inatumika kwenye simu za Sony Xperia.

Sony xperia keyboard ni moja ya keyboard nzuri ambayo wengi hupenda kuwa nayo licha ya aina ya simu anayotumia. Zamani ilikuwa ngumu kutumia keyboard ya Sony kwenye simu ambayo si Sony. Kwa mfano ilikuwa ni ngumu kutumia keyboard ya sony kwenye huawei.



Habari njema ni kwamba, sasa  unaweza tumia Xperia keyboard kwenye simu yako ya android na haijalishi kama wewe una Tecno, Huawei, HTC au Samsung.

Unaweza download Xperia keyboard kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako then enjoy
http://www39.zippyshare.com/v/Fz06xQBn/file.html

Keyboard inafanya kazi vizuri kwenye simu zinazotumia android kitkat (4.4) na android lollipop(5.0+). Kama wewe unatumia android tofauti na hizo nilizozitaja hapo juu unaweza jaribu kuweka kwenye simu yako.

Kwa wale wanaopenda blog yetu na wanataka tuendele zaidi basi usiache kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz




No comments:

Post a Comment