Friday, April 24, 2015

JINSI YA KU-ROOT TECNO H6 BILA KUTUMIA COMPUTER


Tecno H6 ni moja ya simu nzuri ambayo huwezi kuacha kuitaja pale unapoongelea simu bora za Tecno. Tecno H6 ipo vizuri kwenye display. Kioo cha Tecno H6 4.5 inches, 480 x 854 pixels, 218 pixels per inch (PPI). Uwezo wa ndani wa kuifadhi vitu ni 8GB huku ikiwa inatumia android 4.4.2.

Kwa upande wa processor, Tecno H6 ina uwezo wa 1.3GHz quad-core Cortex-A7 CPU, MediaTek MT6582 chipset, Mali-400MP2 GPU na RAM ya 1GB.


Bila kuongea mengi tuangalie jinsi ya ku root Tecno H6 bila kutumia computer.

                                  VIGEZO NA MASHARTI.

1: MIMI SITAHUSIKA ENDAPO WEWE UTAARIBU SIMU YAKO

2: SOMA MAELEKEZO KWA UMAKIMI KABLA UJAJARIBI KWENYE SIMU YAKO


                               JINSI YA KU-ROOT TECNO H6 BILA KUTUMIA COMPUTER

STEP 0
Hakikisha simu yako ni Tecno H6 kabla ujaendelea.

STEP 1
Download KingRoot kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako. 



STEP 2
Baada ya kumaliza ku install ifungue king root app na utaona muonekano kama picha chini




STEP 3
Bonyeza sehemu ambayo ina rangi ya kijani ili ku root simu yako. Subiri kwa mdaa mchache na simu yako itakuwa imefanikiwa kuwa rooted. Ili kujua kama simu yako tayari imekuwa rooted unaweza tembelea link chini
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/11/jinsi-ya-kujua-kama-simu-yako-imekuwa.html

No comments:

Post a Comment