Saturday, December 20, 2014

MUONEKANO WA ANDROID 5.0 (LOLLIPOP) KWENYE SAMSUNG GALAXY S3


Ni meizi kadhaa imepita tangu google watangaze android 5.0 ambayo ndio itakuwa baba wa android kitkat. Wengi wamekuwa wakisubiria android 5.0 ili kuona muonekano wake.

Android 5.0 imeongezwa vitu vingi ukilinganisha na android 4.4.4. Baadhi ya vitu vilivyoongezwa ni screen pinning, battery saver, system animation, user account, device encryption na mengine mengi.



Leo nitaonyesha muonekano wa android 5.0 ikiwa imewekwa kwenye samsung galaxy s3 GT I9300. Picha chini zinaonyesha muonekano wa android 5 kwenye s3.










Hizo ni baadhi ya screenshots nilozofanya ili kukupa idea tu jinsi Android 5 inavyofanania kwenye Samsung Galaxy S3 GT I9300

Siku chache zijazo ntatoa malekezo jinsi ya kuweka android 5.0 kwenye Samsung galaxy s3.

Please stay tune.

No comments:

Post a Comment