Saturday, January 10, 2015

MWAKA MPYA NA TECHNOLOGY MPYA KWENYE CES 2015 (CONSUMER ELECTRONICS SHOW)


Mwaka wa 2015 ni mwaka ambao utaleta mabadiliko makubwa kwenye swala zima la technology. Kama wengi tunavyo fahamu CES 2015 (CONSUMER ELECTRONICS SHOW) ambayo imefanyika Las vagas huko marekani ikiwa na lengo moja ku la kuonyesha technology mpya kwenye mambo ya magari, camera, simu, saa na mambo mengine mengi yanayousiana na technology.

Kama wewe ni mpenzi wa technology basi tazama video chini ili kuweza kupata idea ya mambo makubwa ya tech yatakayo fanyika ndani ya mwaka 2015.


No comments:

Post a Comment