Whatsapp ni moja ya instant messaging application ambayo inakuwezesha kutuma text, picha, video, music pamoja na contact kwenda kwa mtumiaji mwingine wa whatsapp.
Licha ya whatsapp kuwa namba moja kwa kutumiwa na watu wengi lakini bado tunataka mengi kupitia whatsapp.
Wengi tunajua kwamba huwezi kutuma file lenye ukubwa 16MB na kuendelea kupitia whatsapp.
Sasa kama wewe unataka kuidanganya whatsapp na uweze kutuma file lenye ukubwa zaidi ya 16MB basi soma maelekezo chini. Hii ina maanisha kwamba unaweza hata mtumia mwenzako movie nzima..hahahaaaaa......
VIGEZO NA MASHARTI
- MIMI SITA HUSIKA ENDAPO UTAARIBU SIMU YAKO
- MIMI SITA HUSIKA ENDAPO UTASABABISHA WHATSAPP ISHINDWE KUFANYA KAZI
- GENERAL COMMON SENSE IS REQUIRED
JINSI YA KUONGEZA UKUBWA WA FILE UNALOTAKA KUTUMA KUPITIA WHATSAPP
STEP 0
Hakikisha ume ROOT simu yako. Kama simu yako haijawa rooted utaweza kuongeza ukubwa wa file
STEP 1
Download Root Browser kutoka kwenye play store kisha install kwenye simu yako.
STEP 2
Fungua Root Browser kwenye simu yako na utapata muonekano kama picha inavyo onekana
STEP 3
Bonyeza folder la data na utapata muonekano kama picha inavyo onekana chini
STEP 4
Bonyeza folder la data tena kisha tafuta folder linaitwa COM.WHATSAPP kama picha inavyo onekana chini
STEP 5
Fungua folder la COM.WHATSAPP kisha utapata muonekano kama picha inavyo chini
STEP 6
Kisha fungua folder linaitwa Shared_prefs kisha utapata muonekano kama picha inavyo onekana chini
STEP 7
Bonyeza na kushikilia file lenye jina la com.whatsapp.preferences.xml mpaka utakapopata muonekano kama picha chini
STEP 8
Bonyeza open with kwenye menu kisha utaona message kama picha inavyo onekana chini
STEP 9
Bonyeza RB TEXT EDITOR kisha tafuta mstari wenye maneno haya <int name="media_limit_mb" value="16" /> kama picha inavyo onekana chini
STEP 10
Badilisha namba 16 na andika namba ya ukubwa wa file ambalo litakuridhisha kisha bonyeza alama ya SAVE ambayo imepakana na neno size.
Kwa mfano mimi nimeandika 40 nikimaanisha kwamba ntaweza kutuma file lenye ukubwa wa 40MB
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kubadilisha ukubwa wa file ambalo unataka kutuma kupitia whatsapp.
Kama umependa kazi yangu unaweza uka ni follow kwenye instagram #phonetricktz.
Endapo utashindwa na utaitaji msaada kutoka kwetu basi gharama zitatozwa. Tsh 25000 tu.

No comments:
Post a Comment