Licha ya youtube kuwa namba moja kwenye swala la kuangalia video online lakini bado watu wengi wanataka video ziwe zina load kwa haraka bila kukwama kwama.
Kwa sasa google wako kwenye majaribio ya kutumia mfumo wa ExoPlayer ambao utaongeza speed ya loading kwenye youtube application
Kama wewe unataka kujaribu kutumia mfuo huu mpya ExoPlayer ambao google wako kwenye majaribio ya kuuweka kwenye youtube ile video zi-load faster basi soma maelekezo yangu chini.
VIGEZO NA MASHARTI
1: MIMI SITA HUSIKA ENDAPO UTAARIBU SIMU YAKO
2:MIMI SITA HUSIKA ENDAPO UTASABABISHA YOUTUBE ISHINDWE KUFANYA KAZI
3:COMMON SENSE IS REQUIRED
JINSI YA KUFANYA VIDEO KWENYE YOUTUBE ZI LOAD KWA HARAKA.
STEP 0
Hakikisha ume ROOT simu yako. Kama simu yako haijawa rooted utaweza kufanya chochote
STEP 1
Hakikisha ume update youtube yako na kuwa latest. Kama bado tembelea link chini ili uweze ku update youtube
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.youtube
STEP 2
Install Busy box kutoka kwenye playstore. You can skip this step.
STEP 3
Download Root Browser kutoka kwenye play store kisha install kwenye simu yako.
STEP 4
Fungua Root Browser kwenye simu yako na utapata muonekano kama picha inavyo onekana
STEP 5
Bonyeza folder la data na utapata muonekano kama picha inavyo onekana chini
STEP 6
Bonyeza folder la data tena kisha utapata muonekano kama picha chini
STEP 7
Bonyeza folder la Com.google.android.youtube kisha utapata muonekano kama picha chini
STEP 8
Bonyeza folder la shared_prefs kisha utapata muonekano kama picha chini
STEP 9
Bonyeza na kushikilia file lenye jina la yotube.xml mpaka utakapopata muonekano kama picha chini
STEP 10
Bonyeza open with kwenye menu kisha utaona message kama picha inavyo onekana chini
STEP 11
Bonyeza RB TEXT EDITOR kisha tazama juu kabisa utaona neno map. Chini ya Map ongeza maneno yafuatayo
<string name="exo_player_activation_type">ADAPTIVE</string> <boolean name="enable_exo_cache" value="true"/> <boolean name="show_exo_player_debug_messages" value="true"/>
kisha bonyeza alama ya save juu kabisa ambayo ipo pembeni ya size. Tazama picha chini kuelewa zaidi
STEP 12
Restart simu yako.
Mpaka hapo tumefikia mwisho na utakuwa umefanikiwa kuongeza speed ya video ku load kwenye youtube.
Kama unataka msaada ku root simu yako piga namba 0716203029 na gharama zitatozwa Tsh 25000 tu
Pia unaweza ukatutafuta kupitia instagram #phonetricktz.
No comments:
Post a Comment