Monday, November 30, 2015

INSTAGRAM KURUHUSU KUTUMIA ACCOUNT ZA YA MOJA KWENYE SIMU MOJA

Instagram wapo mbioni kuruhusu watumiaji kuweza kutumia account za ya moja kwenye simu moja. Mabadiliko hayo yameanza kuonekana kwenye baadhi ya simu za android.

Tazama video chini ikionyesha instagram ikitumika na account zaidi ya moja



Usisahau kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz kuendelea kupata habari za simu zinazotumia android.

No comments:

Post a Comment