Friday, February 6, 2015

JINSI YA KUBADILISHA BOOTANIMATION KWENYE HUAWEI Y300


Bootanimation ni ule muonekano ambao unaonekana pale unapowasha simu yako. Makampuni ya simu kama Samsung, HTC, Huawei, Sony hupendelea kuweka majina yao pale simu inapowaka.

Kama wewe unatumia Huawei Y300, leo ntakuonyesha jinsi ya kubadili bootanimation na kuweka muonekano mwingine pale simu yako inapowaka.



VIGEZO NA MASHARTI.

1: MIMI SITAHUSIKA ENDAPO WEWE UTAARIBU SIMU YAKO

2: UELEWA WA COMPUTER UNATAJIKA

3: SOMA MAELEKEZO KWA UMAKIMI KABLA UJAJARIBI KWENYE SIMU YAKO



JINSI YA KUBADILISHA BOOTANIMATION KWENYE HUAWEI Y300


STEP 0
Hakikisha ume root simu yako ya huawei y300. Kama bado, tembelea link chini na utapata maelekezo jinsi ya kuroot huawei y300
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/10/jinsi-ya-ku-root-huawei-y300-na-unlock.html


STEP 1
Hakikisha unatumia rom ya slim kat kwenye simu yako. Kama bado, tembelea link chini ili kujua jinsi ya kuweka slim kat rom
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/11/jinsi-ya-kuweka-android-444-kitkat.html


STEP 2
Download bootanimation.zip kwa kutumia link chini kisha lihifadhi hilo file kwenye internal memory ya simu yako na sio kwenye memory card.
https://www.dropbox.com/s/3g7o8x3897nsjey/bootanimation.zip?dl=0

STEP 3
Tazama video chini jinsi ya kuendelea


Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kubadilisha bootanimation kwenye huawei y300. Pia simu ambayo nimetumia kwenye video hapo juu naiuza kwa kiasi cha TSH 140,000 tu. Hii simu inauzwa ikiwa inatumia android 4.4.4 (kitkat). Simu haina tatizo lolote. Piga namba +255753877552 kwa maelezo zaidi.

Endapo utataka msaada wa ku root Huawei Y300 na kuwekewa android 4.4.4 piga simu kwenye namba +255753877552 na itakupasa ulipie Tsh 25000 tu ili ku support hii site isonge mbele. 

6 comments:

  1. bootanimation folder lililopo kwenye system linashindkana ku rename… msaada wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. simu yako ipo rooted? kama haipo rooted utaweza ku rename

      Delete
  2. simu yako ipo rooted? kama haipo rooted utaweza ku rename

    ReplyDelete
  3. ipo rooted na ina run slimkat kitkat 4.4.4

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakikisha application unayotumia ku rename imekuwa granted kwenye super user. Kama unatumia root explorer basi hakikisha una grant super user permision.

      Delete
  4. OK nimeweza kaka..tatizo ilikuwa root explorer ilikuwa sio yenyewe..coz ile iliyopo play store ni paid mi nildownload ile ya free

    ReplyDelete