Monday, February 2, 2015
SASA UNAWEZA KUPIGA SIMU KWA KUTUMIA WHATSAPP
Whatsapp wako kwenye majaribio ya kumfanya mtumiaji wa whatsapp aweze kupiga simu kama ilivyo kwenye viber au skype. Watu wengi tumekuwa tukisubiria kwa hamu mambo haya mazuri ambayo whatsapp wanapanga kutuletea.
Kama wewe umechoka kusubiri na unataka uanze kuwa twangia marafiki zako simu kwa kutumia whatsapp basi unachotakiwa kufanya ni kusoma malekezo yangu chini
JINSI YA KUPIGA SIMU KWA KUTUMIA WHATSAPP
STEP 0
Kabla ya yote, hakikisha simu yako tayari ipo rooted. Kwa wale amabo simu zao bado hazijawa rooted hawataweza kupiga simu kwa kutumia whatsapp. Ili kutaka kujua kama simu yako tayari ipo rooted au bado tembelea link chini.
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/11/jinsi-ya-kujua-kama-simu-yako-imekuwa.html
STEP 1
Hakikisha unatumia whatsapp version 2.11.508 au zaidi. Ili kujua version ya whatsapp unayotumia unatakiwa Ufungue whatsapp kwenye simu yako kisha nenda kwenye setting kisha nenda kwenye help kisha nenda kwenye about
STEP 2
Download Terminal Emulator kutoka kwenye play store kisha install kwenye simu yako
STEP 3
Fungua Terminal Emulator kwenye simu yako kisha andika maneno yafuatayo
su
am start -n com.whatsapp/com.whatsapp.HomeActivity
Andika su kisha bonyeza enter
Andika am start -n com.whatsapp/com.whatsapp.HomeActivity
kisha bonyeza inter na utapata muonekano kama picha chini
STEP 4
Mpaka hapo utakuwa tayari kuanza kupiga simu kwa kutumia whatsapp.
Ili uweze kumpigia mtu inabidi mwenzako awe amefanya kama wewe ulivyofanya kwa kupitia malekezo niliyo yatoa hapo juu.
Endapo utataka msaada zaidi kuhusiana na simu za android unaweza wasiliana nasi kupitia namba +255716203029.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment