Friday, May 30, 2014

TUMIA ANDROID 4.4.2 KWENYE HUAWEI Y300



Kama wewe unatumia Huawei Y300 ambayo imekuja na android 4.1 sasa usipitwe sana kwa kuwa unaweza kutumia android 4.4.2 (KITKAT).
Android 4.4.2 ipo faster zaidi pia unaweza kuweka zile new apps ambazo zinaitaji uwe na android 4.4.


Sasa tazama picha zikionyesha huawei ikiwa inatumia android 4.4.2 (Slimkat Rom).




Sasa kama ungependa na wewe uwe kwenye ulimwengu wa android 4.4.2 KITKAT wasiliana nasi kupitia namba 0716203029 au tucheck kwenye facebook .Gharama ya kuiwezesha Huawei yako itumie android 4.4.2 ni Tsh 25,000

No comments:

Post a Comment