Saturday, May 31, 2014

TUMIA ANDROID 4.4.2 KWENYE SAMSUNG GALAXY S2 I9100


Samsung Galaxy S2 ni moja ya simu nzuri sana lakini cha kusitisha ni kwamba samsung galaxy s2 haitapata update tena kutoka samsung.

Hii inamaanisha watumiaji wa Samsung Galaxy S2 wataendelea kuwa na android 4.2.1 au chini ya hapo. Sasa kama wewe unatumia Samsung Galaxy S2 na unataka uwe level moja na wale wanaotumia S5 inabidi uanze kutumia custom rom.

Custom Rom inaiwezesha simu yako kuwa na android ya kisasa kabisa ambayo ni 4.4.2. Resurrection Remix ni custom rom ambayo inasifika sana na watu wengi wenye samsung galaxy s2 wanatumia hii rom ili kuendelea kuwa update.

Sasa tazama baadhi ya picha zikionyesha Samsung Galaxy S2 ikiwa inatumia  custom rom aina ya Resurrection Remix.





android 4.4.2
unapata halo notification
side bar
google camera









Kama ungependa samsung galaxy S2 yako itumie Resurrection Remix Rom ambayo itaifanya simu yako iwe inatumia android 4.4.2 basi wasiliana nasi kupita +255716203029 au +255753618318.Gharama itakuwa Tsh 25000 tu. Like our facebook to get latest news from us.
Kama wewe unata kujua jinsi ya kuiweka kwenye simu yako basi endelea kutembela hii blog mpaka tutakapotoa maelezeko.

No comments:

Post a Comment