Tuesday, June 3, 2014

IFANYE SIMU YAKO YA ANDROID IWE NA MUONEKANO MZURI


Natumaini wengi watakuwa wanaijua hii app inayoitwa Nova Launcherambayo inaifanya simu yako iwe na muonekano mzuri kushinda ilivyo sasa.

Kama wewe basi ulikuwa hauijui hii app basi unaweza ukaidownload kwenye google play. Ingia google play na search for NOVA LAUNCHER.

Hizi ni baadhi ya picha zikionyesha muonekano wa simu ikiwa inatumia nova launcher




Ukisha install kwenye simu yako nenda kwenye nova settings na juu kabida hakikisha unaifanya iwe default launcher. Nova Launcher ni kwale wanaotumia android 4+

Endapo wewe una android ambayo ipo chini 4 na unataka ku-update simu yako basi tuo comment yako chini na utapewa maelekezo ya kufanya.

No comments:

Post a Comment