Thursday, June 5, 2014

SAMSUNG GALAXY S I9000 IKITUMIA ANDROID 4.4.2


Wale ambao wanatumia simu aina ya SAMSUNG GALAXY S I9000 wapo nyuma sana kwa sababu bado wanatumia Android 2.1.

Sasa kupitia Custom Rom SAMSUNG GALAXY S I9000 inaweza ikawa inatumia android ya kisasa kabisa ambayo ni 4.4.2 (kitkat)

Tazama picha zikionyesha SAMSUNG GALAXY S I9000 ikiwa inatumia android 4.4.2








Sasa kama na wewe ungependa SAMSUNG GALAXY S I9000 itumie android hii ya kisasa kabisa basi wasiliana nasi kupitia namba +255716203029 au +255753618318.
Pia unaweza kutucheck kupitia facebook .

Gharama itakuwa Tsh 25,000 tu. Kama unaswali basi toa comment yako chini na utajibiwa.

No comments:

Post a Comment