Sunday, June 8, 2014

IFANYE SAMSUNG GALAXY S3 IWE KAMA S5


Kwa wale ambao wanatumia Samsung Galaxy S3 I9300 wanaweza kuibadilisha S3 na kupata muonekano wa kisasa wa Samsung Galaxy S5. Bila kusahau Samsung Galaxy S3 itakuwa inatumia android ya kisasa kabisa ambayo ni 4.4.2.

Kwakutumia Rom ya Glamor S5 simu yako ya S3 itakuwa na hizi features
1:Galaxy S5 lockscreen
2:Galaxy Note 3 na Galaxy S5 settings
3:Smart scroll and pause
4:Apps zote za Galaxt S5 na vitu vingine vingi.

Baadhi ya Picha zikionyesha muonekano wa Samsung Galaxy S3 ikiwa kama S5






Sasa kama na wewe ungependa Samsung Galaxy S3 iwe kama S5 piga namba +255716203029 au +255753618318. Gharama itakuwa ni Tsh 25000 tu.

Usisahau ku-like our facebook
Kama unaswali lolote basi unaweza ukaacha comment yako chini na utajibiwa. Kama wewe ungependa kujua jinsi ya kuianya s3 iwe kama s5 basi tembelea hii link http://forum.xda-developers.com/galaxy-s3/development/rom-glamours4-n3-s3-touch-note-3-t2258723

No comments:

Post a Comment