Tuesday, February 4, 2014

TUMIA ANDROID 4.0.4 NA SENSE 4.1 NA BEATS AUDIO KWENYE HTC DESIRE HD


Wale ambao wanamiliki simu aina ya HTC DESIRE HD sasa wanaweza kutumia android 4.0.4 na htc sense 4.1. HTC DESIRE HD kwa sasa inatumia android 2.3 ambayo ipo nyuma sana ukilinganisha na simu nyingine ambazo zinatumia android 4.4.

Kupitia Rom ya Team Venom, HTC DESIRE HD itaweza kutumia android 4.0.4 na htc sense 4.1.

Tazama video ikionyesha HTC DESIRE HD ikitumia android 4.0.4 na htc sense 4.1 pamoja na beats audio


Sasa kama na wewe ungependa uwe na beats audio pamoja na htc sense 4.1 ukiwa unatumia android 4.0.1 basi unaweza wasiliana nasi kupitia namba +255716203029 au +255753618318.

Kama ungependa kutaka kujua jinsi ya kufanya mwenyewe tembelea hii link http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=1960734

No comments:

Post a Comment