Tuesday, May 27, 2014

IFANYE HTC SENSANSION ITUMIE ANDROID 4.1.2 NA SENSE 5


Kwa wale watumiaji wa HTC Sensansion sasa wanaweza kutumia android ya kisasa kabisa ambayo ni 4.1.2 pamoja na Sense 5.

Kupitia Rom ya Viper sasa HTC Sensansion itakuwa faster ikiwa na beats audio, Htc blink field, bila kusahau sense 5 ambayo ni ya kisasa kabisa.

Tazama baadhi ya picha na video fupi zikionyesha HTC Sensansion ikiwa inatumia android 4.1.2 pamoja na Sense 5


Na hizi ni picha zikionyesha Htc Sensansion ikiwa inatumia android 4.1.2 pamoja na Sense 5.



Sasa kama ungependa na wewe uifanye HTC Sensansion yako iweze kuwa kama hiyo inayoonekana hapo basi wasiliana nasi kupitia +255716203029 na gharama yake ni Tsh 25,000 tu.
Au endelea kutembelea blog yetu hadi tutakapo toa step by step instructions jinsi ya kuifanya HTC Sensansion yako iwe kama inavyoonekana hapo juu. Thanks.

No comments:

Post a Comment