Thursday, September 18, 2014

JINSI YA KUWEKA ANDROID L BOOTANIMATION KWENYE SIMU YA ANDROID


Kama wewe ni mtumiaji wa Samsung, HTC, LG, SONY etc na huwa unawaza kama ungeweza kubadilisha jinsi simu inavyowaka na kuweka maneno tofauti badala ya majina ya simu.

Sasa kama simu yako ni rooted utakuwa umefanikiwa kwa 90% kubadili jinsi simu yako inavyowaka. Mimi natumia HTC sensation na nimefanikiwa kubadilisha mfumo mzima wa simu yangu inavyowaka na kuweka mfumo ambao unasemeka kuwa ni wa toleo jipya la android (ANDROID L)

Watch the video below to get an idea of what i'm talking about.




Kama ungependa kufanya simu yako ionakane kama ya kwangu kwenye video follow the steps below

STEP1
Make sure your phone is rooted. Kama simu yako tayari ipo rooted basi download android l bootanimation HAPA

STEP 2
Baada ya kumaliza kudownload, extract the file kwa kutumia winRar or 7zip kwenye computer yako. Utaona folder linaloitwa android l. Ndani ya hilo folder utakuta folder lingine linaloitwa bootanimation. Ndani ya bootanimation utakuta mafile matatu. Copy file linaloitwa Android L Bootanimation 15 fps kisha liweke kwenye memory card ya simu yako. Naomba hilo file usilifungue. Li copy kama lilivyo

STEP3
Baada ya hapo, reboot your phone into recovery kisha chagua kipengele kinachosema install from sd card. Kisha chagua lile file (Android L Bootanimation 15 fps) ulilo copy kwenye memory card yako kisha li flash kwenye simu yako

STEP 4
Baada ya kumaliza ku-flash Android L Bootanimation 15 fps reboot your phone na utaona umepata muonekano mwingine pale simu yako inapoanza kuwaka.

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kupata android l bootanimation kwenye simu yako ya android.

Kama umependa kazi yetu usiache ku like our facebook page.

Piga +255753618318 kama ungependa usaidiwe au simu yako inamatatizo. Gharama zitatozwa  (Tsh 25,000 tu.) 

No comments:

Post a Comment