Sunday, November 9, 2014

JINSI YA KU-ROOT TECNO P5



Tecno P5 ni moja ya smartphone inayosifika sana. Leo nitatoa malekezo mafupi na rahisi ambayo yatakuwezesha kui root Tecno P5.

Watu wengi hawajui faida ya root. Moja ya faida kubwa ya root ni kukuwezesha kutumia custom rom na kuweka vitu kama Exposed Framework kwenye simu yako



NOTE: Mimi sitahusika kwa chochote kitakacho tokea kwenye simu yako. Do this at your own risk.

JINSI YA KU ROOT TECNO P5

STEP 0
Hakikisha simu yako ni Tecno P5 na sio vinginevyo.

STEP 1
Download framroot app kwa kutumia link chini kisha iweke kwenye memory card ya simu yako
https://mega.co.nz/#!rctnlZLY!x1V0ApYtxnPZCAc4HXKMmi_9OSXorcBbU-R36yGJZ44

STEP 2
Nenda kwenye settings ya simu yako kisha security alafu weka tick kwenye kipengele kinachosema
"allow installation from unknown places"

STEP 3
Install Framroot app ambayo umedownload kwenye step 1. Kisha ifungue Framroot na utaona muonekano kama huu

 STEP 4
Hakikisha umepata muonekano kama huo hapo juu kisha bonyeza kipengele kinachoitwa ARAGORN

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa ku root Tecno P5. Kama umependa kazi yetu usiache ku like my facebook page.





4 comments:

  1. mkuu naomba msaada jinsi ya kuugrade my tecno p5 iende 4.4kitkat

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ili uweze ku upgrade tecno p5 kwenda android 4.4.4 inabidi utumie custom rom. Tecno P5 bado hawajatoa official upgrade kwenda kitkat (4.4.4) Je upo tayari kutumia custom rom?

      Delete
  2. samahani nna swali siwezi kutumia njia kuroot tecno h6 nkaroot huawei y300 coz njia mlioitoa ya kuroot huawei kdogo kwang inakuwa ngumu naomba msaada kama inawezekana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwa huawei y300 inabidi ufwatilizie tu hiyo njia niliyotoa. Sidhani kama njia kuroot h6 inaweza ikafanya kazi kwenye huawei y300. Umeshindwa wapi nikuelekeze? Pia sisi huwa tunaweza kukusaidia kama umeshindwa kabisa lakin ndio utabidi ulipie.

      Delete