Wednesday, November 19, 2014

MUONEKANO MPYA WA NOVA LAUNCER


Nova launcher ni moja ya app inayoongoza kwa kuipa simu yako muonekano mzuri.

Nova Launcher inaipa simu yako muonekano wa android 5.0 lollipop. Picha chini zinaonyesha muonekano mpya wa nova launcher








Kama umependa muonekano huo hapo juu  na ungependa uweke kwenye simu yako, unachotakiwa kufanya ni kudownload nova launcher mpya kwa kutumia link chini
http://teslacoilsw.com/tesladirect/download.pl?packageName=com.teslacoilsw.launcher&betaType=public

Baada ya kumaliza kudownload install kwenye simu yako. Kisha nenda kwenye menu tafuta app inayoitwa nova settings kisha ifungue na utapata muonekano kama huu hapa chini


Kisha nenda kwenye kipengele kinachosema Drawer (App and widget drawer) kisha select kipengele kinachosema show Pages as Cards na utapata muonekano kama huo hapo chini


Baada ya hapo hakikisha unakubali kuifanya Nova Launcher kama default App Drawer kama picha inavyoonyesha chini



Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kupata muonekanko mzuri kwenye simu yako. Kama ungependa kupata muonekano mzuri zaidi tembelea link chini
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/09/jinsi-ya-kuweka-android-l-bootanimation_19.html

No comments:

Post a Comment