Monday, February 23, 2015

JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA INSTAGRAM

Instagram ni moja ya application yenye umaarufu mkubwa sana kwenye android na ios. Licha ya instagram kutumiwa na watu wengi na thamani yake kupanda kila kukicha lakini bado muonekano wa instagram hauridhishi.

Leo ntatoa malekezo jinsi ya kubadili rangi ya instagram kwa kutumia instagram themer.



JINSI YA KUBADILI RANGI KWENYE INSTAGRAM.

STEP 0
Hakikisha simu yako tayari ipo rooted na umeweka xposed framework installer. Kama bado ujafanya hivyo tembelea link chini
http://phonetricktz.blogspot.com/2014/07/maelekezo-jinsi-ya-kuweka-xposed.html

STEP 1
Download instagram themer kwa kutumia link chini na kisha install instagram themer kwenye simu yako
http://dl-xda.xposed.info/modules/com.kauq.instagramxmod_v1_cda1bc.apk


STEP 2
Fungua xposed  Installer kwenye simu yako na utapata muonekano kama picha chini


STEP 3
Bonyeza kipengele cha modules kisha weka tick kwenye kipengele cha instagram themer kama picha inavyoonekana chini


STEP 4
Restart simu yako ( zima kisha washa simu yako)

STEP 5
Fungua instagram themer application kwenye simu yako.


STEP 6
Kwa mfano unataka color nyekundu kwenye instagram yako andika #FF0000 kwenye sehemu iliyoandikwa type your color  kama picha inavyoonyesha chini kisha bonyeza apply button. Fungua instagram yako na utaona rangi yake imekuwa nyekundu




Rangi nyingine nzuri ni #EE7600





Rangi nyingine nzuri ni #BAAF07



Rangi nyingine nzuri ni #




No comments:

Post a Comment