Wengi tunaotumia android smartphone huwa tunapenda kuwa na muonekano mzuri kwenye simu zetu ndio maana huwa tunabadili wallpapers na kutumia launcher tofauti ili kupata muonekano mzuri zaidi.
Leo nitatoa malekezo rahisi jinsi ya kupata muonekano mzuri zaidi kwa kutumia application mbili (apex launcher na difft icon pack).
JINSI YA KUFANYA ILI KUPATA MUONEKANO MZURI KWENYE SIMU ZA ANDROID
STEP 0
Download Apex Launcher kutoka kwenye play store
STEP 1
Download difft icon pack kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako.
http://m.hiapphere.com/down/difft.icons
STEP 2
Fungua difft application kwenye simu yako kisha chagua kipengele kinachoitwa apex launcher
STEP 3
Chini kabisa kwenye display yako bonyeza kipengele kinachosema apply.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kupata muonekano mzuri kama picha zinavyoonyesha chini. Kama umependa kazi yetu usiache kutu follow kwenye instagram @phonetricktz
No comments:
Post a Comment