Saturday, February 28, 2015

PICHA ZIKIONYESHA MUONEKANO WA SAA MPYA ZA HUAWEI ZINAZOTUMIA ANDROID.



Leo usiku mida ya saa tatu maeneo ya Barcelona Spain, Huawei watazindua saa  mpya ambayo itakuwa inatumia android. Kama ilivyo kwa Motorola, Lg na Sony kutengeneza saa nzuri zinazotumua mfumo wa android pia Huawei inaanza kuwa tishio kwenye swala la smartwatch.

Tazama picha chini zikionyesha muonekano wa saa za huwawei ambazo zinatumia android.








No comments:

Post a Comment