Friday, February 27, 2015

MUONEKANO MPYA WA PICFRAME


Picframe ni application maarafu  sana inayokuwezesha kuchanganya picha mbalimbali na kuzifanya kuwa picha moja.

Siku chache zilizopita picsframes imepata muonekano mwingine tofauti na ule wazamani. Pia kuna baadhi ya vitu vimeongezwa kwenye application hiyo. Baadhi ya vitu vilivyoongezwa ni kama uwezo wa kutumia maumbo(shapes).



Picha chini zinaonyesha muonekano huo mpya wa picframe









Kama umependa muonekao huo mpya wa picframe basi unaweza update kupitia playstore au kwa kutumia link chini
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.picframes.android&hl=en


No comments:

Post a Comment