Thursday, March 24, 2016

WHATSAPP INAKUWEZESHA KUTUMA DOCUMENTS KAMA PDF

Whatsapp sasa inakupa uwezo wa kuweza kumtumia attached document kama pdf na kufanya whatsapp iwe moja ya app ambayo unaweza kuitumia hata kwa matumizi ya kiofisi zaidi.

Endapo na wewe ungependa kuweza kutuma pdf kwa kutumia whatsapp basi hakikisha una tumia whatsapp toleo namba 2.12.256. Hili toleo tayari lipo kwenye play store na unaweza pia ku download kupitia link chini
http://www.apkmirror.com/apk/whatsapp-inc/whatsapp/whatsapp-2-12-557-release/whatsapp-messenger-2-12-557-3-android-apk-download/
Kwa wale wanaotumia android 4.4+ wataweza ku attach pdf ambazo zipo hata kwenye google drive.

Mpaka hapo tumefikia mwisho na kama unaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz

No comments:

Post a Comment