Whatsapp ni moja ya mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu zaidi ya billion moja. Mpaka sasa Whatsapp imekuwa downloaded zaidi ya billion moja kwenye play store.
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako.
https://mega.nz/#!gNZXjBIR!PugvTjo2YFBgnfnRjGZg0feUwBSvXZsD40CKRWldwWA
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja. Kama umependa kazi zetu unaweza kutufwata kwenye instagrama kupitia phonetricktz
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako.
JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP MBILI KWENYE SIMU MOJA
STEP 0
Download GB whatsaap kwa kutumia link chinihttps://mega.nz/#!gNZXjBIR!PugvTjo2YFBgnfnRjGZg0feUwBSvXZsD40CKRWldwWA
STEP 1
Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya piliSTEP 2
Install application uliyo download kwenye Step 0, kisha ifungue.STEP 3
Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu basi weka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbiliMpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja. Kama umependa kazi zetu unaweza kutufwata kwenye instagrama kupitia phonetricktz
No comments:
Post a Comment