Samsung Galaxy J5 (SM-J500H) ni smartphone ya line mbili huku ukiwa na storage ya 8GB au 16GB pamoja na RAM yenye ukubwa wa 1.5GB. Galaxy J5 inakuja na android lollipop kutoka kwenye box lakini unaweza kuiboresha (update) hadi kufikia android 6.0.1(marshmallow).
Leo tutaona jinsi ya ku-update Samsung Galaxy J5 (SM-J500H) kwa kutumia computer ili uweze kutumia android 6.0.1
http://dl.sammobile.com/Odin3_v3.10.7.zip
http://www.sammobile.com/firmwares/download/88207/J500HXXU1BPG8_J500HOXE1BPG8_SER/
NOTE
ili uweze ku-download inabidi ujiandikishe kwanza kwenye hiyo site
NOTE
Kabla hujaendelea hakikisha kwenye simu yako sehemu iliyoandikwa Product Name ni SM-J500H. Kama ni tofauti na hivyo tafadhali nakuomba usiendelee maana utaaribu simu yako.
Note
Hakikisha program yako ya odin ina fanana na picha juu kwa zaidi ya asilimia 98%. Haikisha vitiki kwenye program yako ya odin vina fanana na vyangu kisha subiri kama dakika 1
Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unataka kusaidiwa ku update Samsung Galaxy J5 au simu yoyote unaweza kutucheck kwenye kupitia whatsapp namba +255652732383.Can't talk, whatsapp only. Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu.
Leo tutaona jinsi ya ku-update Samsung Galaxy J5 (SM-J500H) kwa kutumia computer ili uweze kutumia android 6.0.1
Vigezo na Masharti
- 0: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako
- 1: Hakikisha simu yako ni Samsung Galaxy J5 (SM-J500H)
- 2: Hakikisha simu yako ina charge kuanzia 70%
- 3: Bonyeza hizi number (*#1234#) kwenye simu yako kisha andika mahali hayo maneno yatakayo tokea kwenye screen
- 4: Hakikisha ume install samsung drivers kwenye simu yako.
STEP 0
Download ODIN program kwa kutumia link chini kisha tengeneza folder kwenye desktop yako. Liweke hilo file ulilo download ndani ya folder kisha lifungue au extracthttp://dl.sammobile.com/Odin3_v3.10.7.zip
STEP 1
Download firmware ya Samsung Galaxy J5 (SM-J500H) kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye folder ulilotengeneza kwenye STEP 0, kisha extract au lifungue hilo file.http://www.sammobile.com/firmwares/download/88207/J500HXXU1BPG8_J500HOXE1BPG8_SER/
NOTE
ili uweze ku-download inabidi ujiandikishe kwanza kwenye hiyo site
STEP 2
Kwenye simu yako nenda kwenye settings kisha tafuta kipengele kinachosema Developer Options kama picha inavyo onekana chini. Kama hicho kipengele haukioni basi nenda kwenye about phone kisha shuka chini mpaka utakapoona kipengele kinachosema build number kisha kibonyeze haraka haraka kama mara saba kisha rudi tena kwenye setting na uangalie kama developer options imetokeaSTEP 3
Fungua developer options kisha hakikisha umeiwasha (turn on) halafu umeweka tick ua umekiwasha kipengele kinachosema USB debugging kama picha inavyo onekana chini.STEP 4
Zima simu yako kisha iwashe kwenye downloading mode. Kama hujui jinsi ya kuwasha simu kwenye downloading mode unachotakiwa kufanya ni zima (turn off) simu yako kisha shikilia kwa pamoja vitufe vitatu {cha katikati(home button), cha kupunguza sauti(vol down button)} na cha kuwashia (power button) mpaka simu itakapowaka kama picha inavyo onekana chini ndipo uachie vitufe vyote kwa pamoja.STEP 5
Bonyeza kitufe cha kuongeza sauti kwenda kwenye Download Mode na utapata muonekano kama picha chini. Kwa wale watoto wa mama wenye wasiwasi kwamba simu zao zita haribika au unaogopa na unataka simu yako irudi kama kawaida basi toa battery kisha rudishia washa simu yako. Kama wewe hugopi na unataka kuendelea basi endelea kufwatilizia maelekezoNOTE
Kabla hujaendelea hakikisha kwenye simu yako sehemu iliyoandikwa Product Name ni SM-J500H. Kama ni tofauti na hivyo tafadhali nakuomba usiendelee maana utaaribu simu yako.
STEP 6
Rudi ndani ya lile folder ulilotengeneza kwenye Step 1, kisha double click ile program inayoitwa odin ambayo ulipata baada ya ku extract file ulilo download kwenye STEP 0. Endapo upo sahihi utapata muonekano kama picha chini kwenye computer yakoSTEP 7
Chukua USB kisha chomeka kwenye simu yako ya Galaxy J5 (SM-J500H) halafu chomeka kwenye computer kisha kwenye program ya odin utaona kibox kinarangi kimeandikwa com(xx) na neno linalosema added kama picha chiniSTEP 8
Kwenye program yako ya Odin bonyeza kipengele kinachosema Ap ambacho kipo kulia kisha utaona window mpya imefunguka. Kwa kutumia hiyo window iliyofunguka chagua lile file ulilolipata baada ya ku-extract file ulilo download kwenye STEP 1 ambalo linaishia na haya maneno tar.md5 kisha bonyeza open. Endapo utafanikiwa basi program yako ya odin itafanana na kama yangu kwenye picha chini.Note
Hakikisha program yako ya odin ina fanana na picha juu kwa zaidi ya asilimia 98%. Haikisha vitiki kwenye program yako ya odin vina fanana na vyangu kisha subiri kama dakika 1
STEP 9
Chini kwenye program yako ya Odin, bonyeza kipengele kinachosema Start kisha subiri mpaka utakapona program yako ya Odin imesema neno Pass na ina muoenakano kama picha chini. Kisha simu yako itazima na kujiwasha yenyewe.STEP 10
Simu yako itazima na kujiwasha. Chomoa USB yako kutoka kwenye computer. Subiri zaidi ya dakika 7 kwa maana simu yako itachelewa kuwaka. Baada ya simu yako kuwaka nenda kwenye about phone kisha tazama kama android yako imebadilika kutoka android 5.0 hadi kufikia 6.0.1Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unataka kusaidiwa ku update Samsung Galaxy J5 au simu yoyote unaweza kutucheck kwenye kupitia whatsapp namba +255652732383.Can't talk, whatsapp only. Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu.
No comments:
Post a Comment