Hi-Suite ni moja ya njia unayoweza kutumia ku-update simu za Huawei. Njia hii ni rahisi sana na haitaji maana unatakiwa uwe na computer pamoja na usb cable basi.
Ili kuweza ku-update simu ya huwawei unatakiwa ku-download Hi-suite kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
http://download-c.huawei.com/download/downloadCenter?downloadId=88923&version=346523&siteCode=worldwide
Fungua Hi-suite kwenye computer yako, kisha kwenye simu yako ya huawei nenda kwenye settings kisha bonyeza kipengele Developer options kisha kiwashe. Kiwashe pia kipengele cha USB debugging kama inavyo onekana kwenye picha chini
Chomeka simu yako kwenye computer kwa kutumia USB cable kisha Hi-suite itatumbia simu yako ni ya aina gani kama inavyo onekana kwenye picha chini
Kwenye Hi-suite bonyeza sehemu iliyo andikwa System Update. Hakikisha computer yako ipo imeunganishwa na internet.
Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu.

No comments:
Post a Comment