Saturday, October 22, 2016

MAMBO MAPYA KWENYE WHATSAPP MESSENGER

Kadri siku zinavyo kwenda ndivyo whatsapp messenger inazidi kuwa na mambo mazuri. Kwenye toleo jipya la Whatsapp number 2.16.316, unaweza ku-edit picha au video ukiwa ndani ya whatsapp.

Hii ni habari njema kwa wale wanaopenda magroup, sasa hivi ukitaka kumuweke mtu kwenye group sio lazima akupe number yake ili uweze kumweka. Whatsapp wameanzisha njia mpya ya kukaribisha watu kwenye group kwa kutumia link.

Whatsapp ina kuwezesha kuchat kwenye magroup kijanja zaidi kushinda ilivyo kwenye Whatsapp ya kawaida. Mfano kwenye Gbwhatsapp ukiwa kwenye group na unataka ujumbe wako utume kwa mtu flani basi unachotakiwa kufanya ni kuandika alama @ kisha utaona majina ya watu ambao waliopo kweye group na utabonyeza jina unalotaka kama inavyo onekana kwenye picha chini



Unaweza download whatsapp mpya kwa kutumia link chini au kwenye playstore
http://www.apkmirror.com/apk/whatsapp-inc/whatsapp/whatsapp-2-16-316-release/whatsapp-messenger-2-16-316-android-apk-download/

Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ya phonetricktz

No comments:

Post a Comment