Zipo njia nyingi za kuamisha files kama movies, nyimbo, picha kutoka simu moja kwenda nyingine. Moja ya njia iliyo zoeleka sana na watu ni Bluetooth. Bluetooth ina mazuri yake na pia ina mapungufu yake.
Mfano ukitaka kuamisha Movies yenye ukubwa wa 1GB kutoka simu moja kwenda nyingine sio rahisi ukaanza kufikiria kutumia Bluetooth. Leo tutajifunza njia tofauti itakayo kuwezesha kumtumia rafiki yake movies, nyimbo kwa haraka zaidi.
Njia tutakayo tumia inaitwa SHAREit. SHAREit ni app itakayo kuwezesha kutuma vitu kwa haraka zaidi bila ya kujali ukubwa wa file. Kwa wale ambao hawana Shareit, unaweza ku-download kupitia playstore kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.lenovo.anyshare.gps&hl=en
Kutumia SHAREit ni rahisi sana. Baada ya kuweka SHAREit kwenye simu zote mbili (ya kwako na ya mwenzako) na kukamilisha hatua zote utapata muonekano kama picha chini.
Mfano kama wewe una mtumia rafiki yako movies au picha basi utabonyeza sehemu iliyo andikwa SEND kisha utapata muonekano kama picha chini
Kama unamtumia rafiki yako Videos basi utabonyeza kipengele cha videos, kama unamtumia photos basi utabonyeza kipengele cha photos juu na kama unamtumia music basi utabonyenza kipengele cha music. Kwa ajili ya hili somo, tutaenda kipengele cha kutuma music. Bonyeza sehemu iliyoandikwa music kisha bonyeza music unazo taka kumtumia rafiki yako. Kama inavyo onekana kwenye picha chini.
Kabla ujabonyeza send, hakikisha kwenye simu ambayo inapokea mafiles umebonyeza kipengele kinachosema RECEIVE kisha bonyeza send. Baada ya mdaa mchache utaona jina la simu ya rafiki yako ambayo itapokea. Bonyeza jina la simu kisha utaona mafiles yana anza kwenda kwa rafiki yako kwa speed kubwa.
Mpaka hapo tumefikia mwishio. Kama umependa kazi zetu unaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram page yetu

No comments:
Post a Comment