Themes zimeanza kutumika rasmi kwenye simu za Samsung kama Galaxy S6, S6 Edge, S6 Edge+ pamoja na Note 5. Watumiaji wengine wa simu za Samsung kama Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3 hawawezi kutumia themes kutokana na simu zao kuwa kidogo za kizamani (old fashion)
Leo tutaona jinsi ya kuweka na kutumia themes kwenye simu za Samsung Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3.
JINSI YA KUWEKA THEMES KWENYE SAMSUNG GALAXY S4, S5, NOTE 3 NA NOTE 4
Yapo mambo machache ya kuzingatia kabla ujaweka themes kwenye Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3.Vigezo na Masharti
- 1: Hakikisha simu yako ya Samsung inatumia Android 5 na kuendelea
- 2: Hakikisha tayari simu yako imekuwa rooted
- 3: Hakikisha tayari umeweka custom recovery kama cwm au Twrp
- 4: Fanya Backup ya simu yako
- 5: Mimi sitausika kwa chochote endapo utashindwa kufwata malekezo na kuaribu simu yako
STEP 0
Download ThemeSecChooser kwa kutumia link chini kisha weka hilo file ulilo download kwenye memory card ya simu yakohttps://mega.nz/#!fRJBHSqB!Yqanq3ckcllrHnWuk_jhFBQKiQwYaupTJa8D2gOn0qA
STEP 1
Zima simu yako, kisha washa simu yako kwenye recovery mode halafu nenda kwenye kipengele kinachosema install zip kisha flash lile file ambalo ume download kwenye Step 0STEP 2
Washa simu yako, kisha bonyesa na kushikilia kwenye home screen mpaka utakapopata muonekano kama kwenye picha chini. Upande wa kulia chini utaona kipengele kimeongeza kinachoitwa themes. Kama bado ujapata hicho kipengele rudia tena Step 1STEP 3
Download Themes Pack kwa kutumia link chini kisha extract hilo file ulilo download na ndani yake utakuwa apps kama S6, LG G3, MIUI etc. Kwa mfano kama unataka simu yako iwe na muonekano kama wa S6 basi install S6 app. Kama unataka iwe kama LG g3 basi install g3 app, kama htc basi install htc m9.https://www.dropbox.com/s/nmx9oa93ppc2i4d/Themes%20For%20Lollipop%20Note4.zip?dl=0
STEP 4
Baada ya kumaliza ku install apps zote nenda kwenye homescreen ya simu yako kisha bonyeza na kushilia kama ulivyofanya kwenye Step 2 kisha bonyeza kipengele cha Themes na utapata muonekano kama picha inavyoonekana chiniSTEP 5
Bonyeza theme inayoitaka, kwa mfano unataka simu yako iwe kama iphone basi bonyeza theme inayoitwa IOS7 kisha bonyeza Apply na utapata muonekano kama picha chiniPicha chini zinaonyesha muonekano wa simu yako itakavyokuwa baada ya kuchagua theme tofauti tofauti
muenekano kama wa HTC M9 |
Endapo ungependa kuwekewa themes kwenye simu yako ya Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3 wasiliana nasi kupitia +255765659669
Kwa wale wanaopenda kazi zetu mnaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz
No comments:
Post a Comment