Samsung Galaxy Note 5 ni simu ambayo imekuja na mambo mengi mapya ambayo hayapo kwenye simu zingine za Samsung. Moja ya jambo kubwa ambalo linaitofautisha Galaxy Note 5 na simu zingine za Samsung ni icons.
Leo tutaweza kujifunza jinsi ya kubadilisha icons kwenye simu yako ya Samsung ili zifanane kama za Note 5.
JINSI YA KUWEKA ICONS NOTE 5 KWENYE SAMSUNG GALAXY S4, S5, NOTE 3 NA NOTE 4
Yapo mambo machache ya kuzingatia kabla ujaweka Note 5 icons kwenye Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3.Vigezo na Masharti
- 1: Hakikisha simu yako ya Samsung inatumia Android 5 na kuendelea
- 2: Hakikisha tayari simu yako imekuwa rooted
- 3: Hakikisha tayari umeweka custom recovery kama cwm au Twrp
- 4: Fanya Backup ya simu yako
- 5: Mimi sitausika kwa chochote endapo utashindwa kufwata malekezo na kuaribu simu yako
STEP 1
Hakikisha kwenye simu yako umeweka tayari theme chooser. Kama bado tembelea link chini kujua jinsi ya kuweka themes kwenye S4, S5, NOTE 3 na Note 4http://phonetricktz.blogspot.com/2015/09/jinsi-ya-kuweka-themes-kwenye-samsung.html
STEP 2
Download Note 5 themes app kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yakohttp://www.mediafire.com/?gsbbf87xcizx0ky
STEP 3
Baada ya kumaliza ku install Note 5 theme app, nenda kwenye homescreen ya simu yako kisha bonyeza na kushikilia mpaka utakapopata muonekano kama picha chiniSTEP 4
Nenda kwenye kipengele cha themes kisha utapata muonekano kama picha chiniSTEP 5
Chagua Note 5 theme kisha bonyeza Apply na utakuwa umefanikiwa kupata icons za Note 5 kwenye simu yako ya Galaxy S4, S5, NOTE 3 na Note 4Endapo ungependa kuwekewa themes kwenye simu yako ya Galaxy Note 4, S4, S5 na Note 3 wasiliana nasi kupitia +255765659669
Kwa wale wanaopenda kazi zetu mnaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz
No comments:
Post a Comment