Custom recovery ni jambo muhimu sana pale unapotaka kuongeza ufanisi wa simu yako. Wengi wetu tunatumia simu za android bila kujua mambo mengine yenye raha zaidi unayoweza kuyapata endapo utaweka custom recovery
Kwa wale ambao hawajui faida au maana ya custom recovery ni njia moja wapo ya kumuwezesha mtumiaji wa simu za android kuboresha simu yake na kuongeza ufanisi kwenye simu yake. Moja ya faida kubwa ya custom recovery ni kumuwezesha mtumiaji kuweka custom rom kwenye simu za android
JINSI YA KUWEKA CUSTOM RECOVERY KWENYE TECNO BOOM J7
Yapo mambo machache ya kuzingatia kabla ujaweka custom recovery kwenye Tecno Boom J7.Vigezo na Masharti
- 1: Hakikisha simu yako ni Tecno Boom J7
- 2: Hakikisha tayari simu yako imekuwa rooted
- 3: Hakikisha unasoma maelekezo kwa umakini kabla ya kujaribu kwenye simu yako
- 4: Mimi sitausika kwa chochote endapo utashindwa kufwata malekezo na kuaribu simu yako
Note
Ili kujua recovery inapatikana wapi kwenye Tecno Boom J7, zima simu yako kisha bonyeza cha kuwashia na kuongeza sauti kwa wakati mmoja na uvishikilia mpaka simu yako itakapoonyesha picha kama chini kisha uachie. Unaweza kutumia cha kupunguza sauti kama muongozo na cha kuwashia kama kutekeleza ulichochagua.STEP 0
Download flashify kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako.https://www.dropbox.com/s/oldrkaoqrg024gf/Flashify.ver.1.9.1.build.63.apk?dl=0
STEP 1
Download cwm recovery kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kama lilivyo kwenye memory card ya simu yako.http://www.mediafire.com/download/nv2rwg7noq713s3/%5BNaijawarlord%5D+Tecno+JBoom+J7recovery.img
STEP 2
Fungua flashify app ambayo uli install kwenye step 0. utapa muonekano kama picha chiniSTEP 3
Ukiwa kwenye kipengele cha backup/restore chini bonyeza kipengele kinachosema backup current recovery kisha utaona muonekano kama picha chiniSTEP 4
Chagua kipengele kinachosema sdcard kisha bonyeza back it up kisha subiri. Kama ikichukua mdaa mrefu sana cancel endelea step 5.STEP 5
Nenda kwenye kipengele cha flash kama picha inavyo onekana chiniSTEP 6
Bonyeza kipengele kilicho andikwa recovery image kisha utaona muonekano kama picha chiniSTEP 7
Bonyeza kipengele kilicho andikwa choose file kisha chagua lile file ambalo uli download kwenye step 1. Ukifanikiwa utaona muonekano kama picha chiniSTEP 8
Bonyeza sehemu iliyoandikwa yup kisha subiri mpaka app imalize na utakuwa umefanikiwa kuweka custom recovery kwenye simu yako ya Tecno Boom J7Ili kuakiki kama umefanikiwa kuweka custom recovery, zima simu yako kisha bonyeza cha kuwashia na kuongeza sauti kwa wakati mmoja na uvishikilia mpaka simu yako itakapoonyesha picha kama chini kisha uachie.
Mpaka hapo tumefikia mwisho wa maelekezo ya kuweka custom recovery kwenye Tecno Boom J7. Kama ungependa msaada wa kuwekewa custom recovery kwenye Tecno Boom J7 piga namba +255765659669.
Ili kuweza kuendelea kupata habari nyingi zaidi kuhusina na simu za android unaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNahitaji ROM inayoweza kufanya kazi vizuri kwa tecno j7 yakuanzia andoid 5.0. Ahsante.
ReplyDeleteDah hiyo j7 sidhani kama ipo.. nikipata ntakwambia
ReplyDelete