Thursday, July 17, 2014

(MAELEKEZO) JINSI YA KUWEKA FLOATING NOTIFICATION KWENYE SIMU ZA ANDROID

Kama wewe ni mtumiaji wa simu za android na unataka kupata muonekano mpya wa notification ambao utakuwa una helea kwenye simu yako basi endelea kusoma kujua jinsi ya kufanya.

Mimi binafsi natumia HTC Sensation na nimefanikiwa kuweka Floating Notification kwenye simu yangu. Na hizi ni baadhi ya screenshot ambazo naziweka kukupa idea jinsi floating notification inavyo fanya kazi




Kabla sijaanza kuongelea jinsi ya kuweka floating notification ni vizuri kukueleza vigezo na masharti vya kuzingatia.

VIGEZO VYA KUZINGATIA KABLA UJAWEKA FLOATING NOTIFICATION KWENYE SIMU YAKO

1) Hakikisha simu unayotaka kuweka floating notification siyo Samsung. Sababu inayopelekea usiweze kuweka kwenye samsung ni kwamba samsung inatumia touchwiz. Touchwiz inaweza ikaingilia na files za floating notification. Kama ungependa kuweka kwenye samsung basi hakikisha hatumi Touchwiz launcher, Tumia Nova launcher au Apex Launcher( zinapatikana kwenye play store).

2) Mimi sitahusika endapo utaharibu simu yako. Continue on your own risk. Nakushauri ufanye backup (nandroid) kabla ujajaribu. Ili kufanya nandroid backup unabidi uwe na custom recovery.

(MAELEKEZO) JINSI YA KUWEKA FLOATING NOTIFICATION KWENYE SIMU YA ANDROID

STEP 1
Weka exposed framework kwenye simu yako. Kama bado ujaweka exposed framework basi tembela HAPA

STEP 2
Install Floating window na Halo kwenye simu yako. Kama ungependa kuweka Floating Window na Halo kwenye simu yako tembelea HAPA

STEP 3
Baada ya kumaliza step 1 na step 2 basi install floatification app kutoka kwenye play store. Floatification app iligunduliwa na Rob J. Thanks to Rob J.




STEP 4
Baada ya ku install Floatification, open floatification kisha enable it as an Accessibility Service


  STEP 5
Chagua apps ambazo ungependa uwe unapata notification zake kwanjia ya floating


Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka floating notification kwenye simu yako. Kama umeshindwa na ungependa utimie floatification kwenye simu yako basi wasiliana nasi kupitia  +255716203029 au +255753618318. Gharama zitatozwa  (Tsh 25,000 tu.)

Kama umependa kazi yetu usiache kutulike kwenye facebook yetu na follow us kwenye google+ . Kama una swali lolote basi toa maoni yako chini na utajibiwa.
 

No comments:

Post a Comment