Watu wengi wa android hupenda kuchukua screenshot huku wakisahau kwamba unaweza pia kufanya video screen shot kwenye simu za android
Video screen shot kidogo ipo tofauti na screenshot ya kawaida. Ili kufanya video screen unatakiwa kuzingatia yafuatayo
- Simu yako iwe inatumia android 4.4 (kitkat)
- simu yako inatakiwa iwe rooted
- install Rec.(screen recoder) into your phone from google play store.
Video hapo chini inaonyesha Samsung Galaxy S3 GT-I9300 ikichukua video screenshot
JINSI YA KUCHUKUA SCREEN VIDEO SHOT
1: Kwenye simu yako Open Rec.(screen recoder) app kisha soma maelekezo kwenye screen
DONE.
No comments:
Post a Comment