Kama wewe unatumia simu aina ya Samsung Galaxy S3 GT-I9300 na umekuwa ukitamani sana utumie Samsung Galaxy S4. Napenda kukwambia kwamba sasa unaweza badilisha muonekano mzima wa Samsung Galaxy S3 na kupata muonekano wa S4.
Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kwamba Samsung Galaxy S3 tayari ipo rooted. Kama bado uja root Samsung Galaxy S3 tembelea hii link http://phonetricktz.blogspot.com/2014/07/maelekezo-root-samsung-galaxy-s3-gt.html
Kitu cha pili unachotakiwa kufanya baada ya kuroot simu yako ni kuweka custom recovery kwenye Samsung Galaxy S3. Kama bado ujaweka custom recovery tembelea hii link http://phonetricktz.blogspot.com/2014/06/maelekezo-weka-custom-recovery-kwenye.html
Baada ya Kumaliza ku-root na kuweka custom recovery kwenye Samsung Galaxy S3, unaweza sasa badili muonekano mzima wa Samsung Galaxy S3 na upate muonekano wa S4.
NOTE: (VIGEZO NA MASHARTI)
1: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako.
2: Hakikisha unauelewa kidogo wa computer
3: Maelekezo haya ni kwa watu wanaotumia SAMSUNG GALAXY S3 GT-I9300.
4: You need common sense and brain.
JINSI YA KUBADILI SAMSUNG GALAXY S3 KUWA KAMA SAMSUNG GALAXY S4
STEP 1
Download S4 Revolution V12 kwenye hii link Download kwa kutumia chrome browser https://mega.co.nz/#!60RUAYhA!WiNstx...pL7kJkLdN2OjJQ
STEP 2
Baada ya kumaliza kudownload copy S4 Revolution v12 Christmas Version.zip kwenye memory card ya simu yako. Hakikisha kwenye memory card yako una free space isiyopungua 4GB.
STEP 3
Zima simu yako kisha washa simu yako kwenye recovery mode. Jinsi ya kuwasha simu yako kwenye recovery mode unatakiwa kushikia POWER BUTTON(cha kuwashia) + VOL UP BUTTON(cha kuongezea sauti) + HOME BUTTON(cha katikati) vyote kwa pamoja mpaka simu yako itakapoonyesha logo ya samsung kisha achia vyote kwa pamoja.
STEP 4
Kwa kuwa step 4 ni ngumu kidogo inabidi niifanye practical kabisa ili uweze kuelewa. Nimeandaa kipande kidogo cha video ambacho kitatoa maelekezo jinsi ya kuendelea. Tafadhali angalia video chini
NOTE:
1:backup your phone to sdcard1 (memory card)before installing the rom
2:make sure you choose MG4 modem in Aroma installer.
Tazama baadhi ya screenshot nilizozifanya baada ya ku install S4 Revolution rom kwenye Samsung Galaxy S3.
Endapo kama wewe ungependa ubadili Samsung Galaxy S3 kuwa kama S4 lakini umeshindwa kufwata maelekezo hapo juu basi wasiliana nasi kupitia namba +255753618318 au +255716203029 na ghara itakuwa ni Tsh 25,000.
Kama una swali toa maoni (comment) chini hapo na utajibiwa. Kama umependa kazi yetu usiache kutulike kwenye facebook yetu na follow us kwenye google+
Unaweza ukanisaidia jinsi ya ku upgrade huawei g610 u20 4.4.4 kitkat au lollipop
ReplyDeleteUnaweza ukanisaidia jinsi ya ku upgrade huawei g610 u20 4.4.4 kitkat au lollipop
ReplyDeleteNdio inawezekana... piga namba 0753877552
ReplyDeleteOk
DeleteOk
Delete