Tuesday, March 3, 2015

JINSI YA DOWNLOAD PICHA KUTOKA KWENYE INSTAGRAM


NJIA HII KWA SASA HAIFANYI KAZI. BONYEZA LINK CHINI KUJUA NJIA MPYA
http://phonetricktz.blogspot.com/2015/07/jinsi-ya-ku-zoom-ku-download-picha-na.html

Wengi wamekuwa wakitamani ku download picha kutoka kwenye instagram bila kufanya screenshot. Ubaya wa screenshot ni kwamba picha huwa na maneno ambayo unakuta hauyaitaji na inakubidi tena ku crop picha ili kuyaondoa maneno hayo.

Leo nitatoa malekezo jinsi ya kudownload picha kutoka kwenye instagram bila kufanya screenshot.



JINSI YA KU DOWNLOAD PICHA KUTOKA KWENYE INSTAGRAM

Tembelea link chini

http://phonetricktz.blogspot.com/2015/07/jinsi-ya-ku-zoom-ku-download-picha-na.html

No comments:

Post a Comment