Wednesday, July 29, 2015

JINSI YA KU-ZOOM, KU-DOWNLOAD PICHA NA VIDEO KUTOKA KWENYE INSTAGRAM


Zipo njia nyingi ambazo zinakuwezesha ku-download picha na video kutoka kwenye instagram. Njia hii ambayo nitatoa malekezo ni moja ya njia nyepesi na rahisi ya ku-download, ku-zoom picha kutoka kwenye instagram



JINSI YA KU-ZOOM, KU-DOWNLOAD PICHA NA VIDEO KUTOKA KWENYE INSTAGRAM

STEP 1

Download Zoomagram kutoka kwenye playstore kisha install kwenye simu yako


STEP 2

Fungua Zoomagram kisha chini kabisa hakikisha inakuwa ON badala ya OFF kama picha inavyo onekana chini


STEP 3

Nenda kwenye picha ambayo unataka ku-download kutoka kwenye instagram. Kwa mfano mimi nataka kupakua picha ya my favourite adidas sneakers kama picha inavyo onekana chini


STEP 4

Bonyeza vile vidoti vitatu ambavyo vipo ya chini kidogo ya ile picha unayotaka ku-download.


STEP 5

Bonyeza kipengele kinachosema Copy Share URL


STEP 6

Baada ya sekunde chache utaona zoomagram imefunga ikiwa na option ya kudownload, ku-share, ku-zoom kama picha inavyo onekana chini



Mpaka hapo tumefika mwisho wa malekezo ya kuchukua picha kutoka kwenye instagram. Kama umependa kazi yetu unaweza ukatufwata kwenye intagram kwa kutumia phonetricktz

No comments:

Post a Comment