Thursday, June 25, 2015

MICROSOFT OFFICE YAANZA KUTUMIKA RASMI KWENYE SIMU ZA ANDROID


Wengi tunajua umuhimu wa Microsoft Office kwenye computer. Siku chache zilizopita kampuni ya Microsoft iliweka program zake muhimu ambazo zinapatikana kwenye Microsoft Office (Microsoft Word, Powerpoint) kwenye play store. Kitu kingine kizuri zaidi ni kwamba utaweza ku-download hizo apps bure.



Kwa wale wanaopenda kujaribu Microsoft Word kwenye simu yake ya android unaweza tembelea link chini kisha download halafu install kwenye simu yako https://play.google.com/store/apps/details?id=com.microsoft.office.word



Kwa wale wanaopenda kujaribu Microsoft Powerpoint kwenye simu yake ya android unaweza tembelea link chini kisha download halafu install kwenye simu yako https://play.google.com/store/apps/details?id=com.microsoft.office.powerpoint



Kwa wale wanaopenda kujaribu Microsoft Excel kwenye simu yake ya android unaweza tembelea link chini kisha download halafu install kwenye simu yako https://play.google.com/store/apps/details?id=com.microsoft.office.excel


Makampuni kama LG na Sony tayari wameshatangaza kwamba kwenye simu zao zinazo kuja wataweka program za Microsoft Office ili kuwapunguzia usumbufu wateja pale wanapotaka kutumia Microsoft Word, Powerpoint au Excel.

No comments:

Post a Comment