Monday, March 23, 2015

DOWNLOAD SAMSUNG GALAXY S6 RINGTONES


Samsung Galaxy S6 ni tolea jipya la samsung na simu ilizinduliwa wiki chache zilizopita huko Spain. Milio au ringtones ambayo ipo kwenye Samsung galaxy S6 imevuja kwenye mitandao na unaweza kutumia milio hii ya Samsung Galaxy S6 kwenye simu yako ya android.



Unaweza download milio ya Samsung Galaxy S6 kwa kutumia link chini kisha weka kwenye simu.
http://www6.zippyshare.com/d/NTkMv5NU/19/Samsung%20Galaxy%20S6%20Ringtones.zip

Ukimaliza ku download unaweza fungua hilo file na program kama 7zip au winrar. Baada ya kufungua hilo file ndani utakuta mafolder matatu.



Unaweza ku copy hayo mafolder na kuyaweka kwenye simu yako.


No comments:

Post a Comment